|
YOUNG TUSO |
INAFAMAHAMIKA WAZI KUWA WASANII DUDU BAYA NA CHIDI BENZ NDIO WASANII AMBAO WAMEWAHI KUTOFAUTIANA NA PROFESA JAY WAZIWAZI, KWA MFANO HIVI KARIBUNI DUDUBAYA ALIMWITA PROFESA JAY KUNGURU NA KUONGEZA KUWA SI MWANAHARAKATI, HIYO NI BAADA YA PROF KUZUNGUMZA KUPITIA CLOUDS FM KUWA ANALAUMU VYOMBO VYA HABARI KUPROMOTE KAZI ZA WASANII WASIOKUA NA VIGEZO NA KULAUMU MASHABIKI KWA KU REQUEST KAZI ZA WASANII HAO KWENYE MEDIA NA KUWASHANGILIA WASANII HAO WANAPOKUA KWENYE MAJUKWAA, SASA MSKIE NA KUMTAZAMA YOUNG TUSO AKIMCHANA YEYOTE ANAYEM DISS PROFESA JAY HAPO CHINI: