Tuesday, May 7, 2013

TEASER: SUMA LEE KUTAMBULISHA NGOMA YAKE MPYA LEO NDANI YA XXL / CLOUDS FM

cover ya ngoma mpya ya Suma Lee inaitwa Wanasema
kupitia kipindi cha XXL ya clouds fm kinachoruka kuanzia saa 7 mchana mpaka 10 jioni, Artist Suma Lee ulisha ataitambulisha ngoma yake mpya inaitwa Wanasema katika Exclusive Interview, akizungumzia ngoma hiyo suma amesema kwamba ameifanya na production ya fish crab cook out ya Producer Lamar, na ndani ya ngoma hiyo amezungumzia wale wadaku wanaopenda kutengeneza maneno maneno, na kutofurahia mahusiano ya watu.
mskie hapo chini Suma Lee akifunguka kwenye TEASER.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.