Wednesday, May 7, 2014

BAADA YA KUTEMBELEA BAJAJ KWA MIEZI KIBAO HATIMAYE NEY WA MITEGO ANUNUA MARK X

 
Baada ya kutembelea usafiri wa Bajaj na Bodaboda kwa muda wa miezi kadhaa hatimaye hivi karibuni Msanii Ney wa Mitego amedondosha ndinga aina ya Mark X lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 25 za kitanzania. watu wengi waliowahi kumwona Ney ndani ya Bajaj walikua wanajiuliza inakuaje kuaje msanii kama huyu apande usafiri wa Bei rahisi wakati anatengeneza mamilioni kila weekend kwa show mbalimbali anazofanya, sasa jibu limepatikana kuwa huenda Ney aliamua kuuza ndinga alilokua anamiliki mwanza aina ya Alteza kisha akadunduliza na mtonyo mwingine na kuagizia Mark X.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.