Leo Mtu mzima Dj Aaron wa Cloudsfm producer wa kipindi cha Nyuma ya Lens ya clouds tv, anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe, Leo pia Dj Aaron ameachia ngoma ma kwa Mara ya kwanza ame Rap ndani ya hiyo joint aliyowashirikisha Producer Aloneym na mwanadada Linah Sanga,,, !mungu akutangulie ktk kila unachofanya bruv