Ile kesi ya madai iliyofunguliwa mwezi uliopita na mganga wa
jadi dhidi ya AT msanii wa muziki wa kizazi kipya, leo ndo ilikua tarehe yake katika mahamaka ya mwanzo Buguruni, asubuhi AT alifika mahakamani mapema na ilipofika zamu yake akaitwa na na kusomewa shitaka, na AT alikanusha, kesi imeahirishwa mpaka tarehe 2 mwezi
wa nne, ambapo mdai ambaye ni mganga dr sherif ametakiwa kwenda na vielelezo
vyote kuthibitisha madai hayo,
Ktk kesi hiyo dr sherif anadai kuwa kati ya mwaka 2010 na mwaka
2013 alimtibia at, na msanii huyo
hakulipa bill.
Matibabu hayo ni pamoja na kuinua nyota yake, kumpatia tuzo ya
kili mwaka 2013, na mengineyo.