Friday, April 25, 2014

TEASER: DOCUMENTARY YA MAISHA YA MABESTE KUZINDULIWA JUMAPILI HII @CLUB BILICANAS

Rapper Mabeste Jumapili ijayo ya tarehe 27 mwezi April 2014 anatarajia kuzindua Documentary ya maisha yake inaitwa "Ngoja niseme" katika Documentary hiyo itakayokua inatoka kwa episode Mabeste amezungumzia maisha yake tangu anazaliwa mapito yote ya hapo kati mpaka sasa hivi ambapo ana mtoto mmoja pamoja na mama wa mtoto huyo wanayeishi nae pamoja, katika usiku huo Mabeste pia atashika Mswaki a.k.a Mic kwa kupiga ngoma kadhaa katika Club hiyo maarufu jijini Dar es salaam, kuna list ya wasanii wengi watakaomsindikiza ikiwa pamoja na Country Boy, Stamina, Darasa, Suma Mnazaleti, Queen Darlin, Leo, Dedy, C Lo na M Rap Lion, kwa mtonyo wa buku 8 getini unazama kuanzia saa Tatu ucku.


Cheki Teaserama kionjo  hiyo hapo chini:-

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.