Wednesday, May 28, 2014

NEW SONG: REYMOND WA TIP TOP CONNECTION - UPO MWENYEWE

Tip Top Connection leo imeachia ngoma mpya ya Msanii aliye chini ya label yao anaitwa ReyMond kutoka Mbeya msanii ambaye amewahi kushinda kwenye Shindano la Mc Shujaa Tanzania shindano lililokua linaandaliwa Clouds Media Group kupitia Tamasha la Serengeti Fiesta na shindano hilo baadae likaja kuitwa Serengeti Fiesta Supa Nyota, ReyMond pia ni msanii ambaye aliziba pengo la Dogo Janja baada ya msanii huyo kujiondoa Tiptop, enjyo ngoma Mpya ya ReyMond inaitwa Upo Mwenyewe.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.