Weekend iliyopita mtangazaji wa Kipindi cha Power Breakfast on Saturday na Mtaarishaji wa Kipindi cha Power Breakfast vyote vya Cloudsfm aliliaga rasmi chama la Mabachela kwa kufunga ndoa na Mwanadada Evodia Elias, bata la kusherehekea Ndoa hiyo lilifanyika pande za Delux Sinza, na ili hudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo watangazaji maarufu kutoka Radio ya watu clouds fm pamoja na watangazaji kutoka radio na Tv Station nyingine za Tanzania, Team Makorokocho tunatoa pongezi kwa familia hii mpya na mungu awaondolee mitihani ya Talaka hahahahha,
Enjoy kwa kukodolea picha za Tafrija hiyo.
Mtaarishaji wa Kipindi cha Amplifaya Cloudsfm Faraja Kyarwenda ndani ya Suti akiserebuka |
Kutoka kushoto ni James Tupa Tupa, Faraja, Jacob Mbuya na Jimmy Jam |
Phillip akiwa na Mtangazaji wa Power Breakfast Gerald Hando |
Geah Habib na Buggy Master |