Thursday, May 29, 2014

YOU HEARD: IRENE UWOYA ATHIBITISHA MAHUSIANO YAKE NA MSAMI



Hatimaye Actress wa Bongo Movie Irene Uwoya leo kupitia You Heard ya XXL Clouds fm amethibitisha kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Msanii wa Bongo Flava Msami, Irene Uwoya anadai mahusiano yao yana muda mrefu na hategemei kuachana nae kwa sababu anampenda sana, nilipomuuliza kama anafahamu kuwa Msami alikua na Girlfriend ambaye wameachana kwa sababu yake yeye uwoya, mwanadada akacheka na kusema haijalishi akaongeza kuwa anampa Msami kila kitu na mahusiano yao ni ya kudumu.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.