Mwanadada Lulu Diva anakualika kuchungulia video ya ngoma yake ya milele aliyomshirikisha Barnaba Boy, ngoma imefanyika katika studio za High Table Sound zinazomilikiwa na Barnaba, Video ya milele imefanyika South Africa chini ya Director Nicklass
CONTACT US +255 715 25 23 71