Leo ndio siku rasmi ambayo Rich Mavoko ameachia Music Video wa Wimbo wake Pacha wangu aliyoi shoot nchini South Africa chini ya Director Mkongwe nchini Tanzania Mtu mzima Adam Juma Kutoka Kampuni ya Visula Lab next Level.
CONTACT US +255 715 25 23 71