Sunday, September 28, 2014

DIAMOND AMZAWADIA WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI

Leo ni Birthday ya Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, anatimiza miaka 26 tangu azaliwe, ukipitia kwenye mitandao ya kijamii Mashabiki pamoja na Mastar wengi wame post picha za mwanadada huyu na kum wish birth day njema, Boy friend wake ambaye ni msanii mkubwa wa bongo flava Diamond Platnumz amemzawadia gari aina ya Nissan, Diamond amelipost gari hilo kwenye mtandao na kuandika kama ifuatavyo:
Nilitamani nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby
kwa wakati huu Diamond yupo nje ya nchini akizunguka nchi mbalimbali za ulaya na america kupiga shows.
Gazeti la makorokocho linamtakia mafanikio mema mwanadada Wema Sepetu, happy Birthday Wemaaaa!! 

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.