Monday, September 29, 2014

MTOTO WA MIAKA 8 WA JOSE CHAMELEONE ATOA WIMBO

 
Msanii Tajiri zaidi afrika masharika kwa mujibu wa Forbes Magazine Jose Chameleone leo ameachia Track ya mtoto wake wa kwanza mwenye umri wa miaka 8 anayeitwa Abba na kuthibitisha usemi wa mtoto wa nyoka ni nyoka, lakini tofauti na baba yake Abba Marcus yeye ana Rap kwenye ngoma hii inaitwa Game

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.