Monday, September 22, 2014

MEZ B AELEZEA KINAGA NAGA CHA KUPIGA PICHA ZA UTUPU

Mez B na mdada yuko uchi
Msanii wa siku nyingi wa Bongo Flava ambaye pia ni Mtoto Wa Mchungaji #MezB hivi karibuni Picha zake Utupu zilisambaa akionekana yuko na Toto mbili nyonyo nje njeeee, kukawa na hali ya sintofahamu juu ya nani aliyesambaza picha zile, sasa Mez B baada ya kufanya uchunguzi wake tayari ameshamjua m'baya wake aliyevujisha hz picha, Kumbe ilikua mwaka Jana wakati Ana shoot Video ya Shemeji maeneo ya Mikadi Beach alipomaliza wakatokeza hao wadada wawili inaonekana ni MTU Na Dada Yake maana wamefananaĆ a shingo zao Kama jogoo, walikua wanaogelea eti wakamwomba wapige picha Mez B akachomoa lakin wadada wakaendelea kusisitiza eti Director wake Wa Video akam ng'ata sikio kuwa wakubali kupga picha Kwa Camera Ya Director Kwa ahadi kuwa wakitoka hapo atazi delete, picha zikapigwa Na MezB anakuja kushtuka HV karibun wakat picha zimevuja Na alipomuuliza Director akamjibu kuwa huenda kijana flan ambaye alikua anafanya kazi Na Producer ndio atakua amevujisha picha Kwa sababu walikua wamegombana Na Director, Mama Mez B ambaye ni Mchungaji bado hajazipata taarifa hizi Je akizpata itakuaje?

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.