HAWA NDIO WASHIRIKI WA BIG BROTHER AFRICA HOT SHOTS KUTOKA TANZANIA
Idris Sultan na Irene Laveda ni washiriki wa Kipindi cha Tv cha Big Brother Hot Shots 2014 kutoka Tanzania, kipindi kinatarajiwa kuanza kurushwa kupitia Dstv kuanzia mwezi wa kumi mwaka huu wa 2014