Monday, September 12, 2016

Darasa Kayaongea Haya Kuhusu Beef Na Mr Blue

Ukitaja ngoma za Rap kumi zinazofanya poa Bongo neno "Too Much" lazima litapata nafasi mdomoni kwako, Naam namaanisha Rapa Darasa atakua miongoni mwa hitmakers wa ngoma unazozikubali. Pamoja na kufanya Vizuri na hitsong "Too Much" Darasa amekua akitajwa kuwa na beef ya chinichini na Mr. Blue ambayo binafsi hawakuwahi kuiongelea.
 Shilawadu Ilimfuata Darasa baada ya kushuka stejini kwenye moja ya Shows za Fiesta Zinazoendelea mikoani na alikua na haya ya kusema.




MANFONGO KUHUSU VIDEO YAKE MPYA (KIBAKA)


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.