Tuesday, October 21, 2014

MISS TANZANIA SITTI MTEMVU AJITETEA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI


Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu muda mfupi baada ya kuchaguliwa kushikilia taji hilo ilizua utata kwenye mitandao ya kijamii na kwingineko watu wakihoji uhalali wa binti kushikilia nafasi hiyo na wengi wakihoji kuhusu umri wake kuwa una udanganyifu na umbo lake eti ni nene, sasa kamati ya miss Tanzania chini ya Hashim Lundenga leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari akiwemo Sitti Mwenyewe
Tazama Video hapo chini uone uhondo wote wa maswali na majibu kati yao na waandishi wa habari

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.