Tuesday, December 16, 2014

YOU HEARD: ADAM MCHOMVU APATA MTOTO WA KIUME (JONII)

Adam Mchomvu Mtangazaji wa kipindi cha XXL kinachoruka Clouds fm Radio hivi karibuni wa ubavu wake Aisha Mchomvu amejifunguka mtoto wa kiume na kuandika historia ya wawili hao waliodumu kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka mitano sasa, Adam amesema mtoto huyo tayari ana manager atakayesimamia biashara zake zote zitakazo muda si mrefu, na amesema Mama Mtoto na mtoto wako katika hali nzuri baada ya kujifungua salamaaaaaa, Gazeti la Makorokocho linaipongeza familia hii kupata mtoto wa kwanza.
Sikiliza Interview ya Adam Mchomvu aliyofanya Gossip Cop Soudy Brown kwenye You Heard ya XXL.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.