Saturday, September 10, 2016

Mtangazaji wa kituo cha Clouds Tv ateuliwa kuwa Mkurugenzi H/Mbulu.



Tarehe 10 mwezi Sept.Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania amefanya uteuzi wa naafasi ya katibu tawala sambamba na uteuzi wa Wakurugenzi wa Wilaya 11 nchini ambapo katika uteuzi huo Mtangazaji wa kituo cha televisheni cha Clouds Tv,Hudson Kamoga ameteliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbulu.

Kabla ya uteuzi huo Kamoga alikua muongozaji wa kipindi cha "360" kinachoruka hewani kila siku za wiki saa 6:00  hadi saa 9:00 asubuhi akiwa na watangazaji wenzake Baby Kabaya na Sam Sasali.Mbali na uteuzi huo mnamo tarehe 17 mwezi 3,2016 Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janet Magufuli aliwahi kupiga simu na kushiriki kwenye mijadala ya kipindi hicho.
                                                      


Hudson Kamoga,Baby Kabaya na Sam Sasali siku waliyopigiwa simu kwenye kipindi chao na Rais Magufuli.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.