Cheki picha hizo hapo chini
Thursday, December 18, 2014
PICHA: MKE WA MBUNGE (SUGU) AVAA PAMPERS HADHARANI
Aliyekua mke mtarajiwa wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) amevalia Diapers maarufu kama Pampers hadharani katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, mwanadada huyo aliyeza na Sugu mtoto mmoja anayeitwa Sasha amepost kwenye mitandao picha zikimwonyesha akiwa amevalia Diapers ambazo mara nyingi huvaliwa na watoto wachanga kuzuia haja kubwa na ndogo zisipitilize na kuchafua hali ya hewa na pia huvaliwa na wagonjwa wasioweza kuzuia haja ndogo na kubwa kwa kwenda maliwatoni, kwa sasa hivi inasemekana Mwanadada huyo Faiza ameachana na Mbunge kwa hiyo mahusiano yao yamebaki kwa mtoto
Cheki picha hizo hapo chini
Cheki picha hizo hapo chini
Comments System
facebook