February 8, 2015 Los Angeles Marekani kutakuwa na tukio la utoaji wa Tuzo za Grammy, mastaa kibao wametajwa kuwania tuzo hizo, yako mengine mapya leo nashare na wewe.
Rapper mkongwe Marekani, LL Cool J ametajwa kuwa ndiye MC wa shughuli hiyo mwanzo mwisho.
Jipya lingine ninalokusogezea ni kwamba ile list ya watakaofanya show siku hiyo imeongezeka, Pharell Williams, Sam Smith, Usher Raymond, Madonna, John Legend,Ariana Grande na Miranda Lambert watanogesha usiku huo kwa show ya nguvu.
Pharrell WilliamsMiranda Lambert
LL Cool J