Sunday, September 18, 2016

Hizi ni lugha 20 za kiafrika zinazozungumzwa zaidi.

Bara la Afrika linatajwa kama bara lenye mkusanyiko wa lunga nyingi sana.Baadhi ya hizi ni za asili wakati nyingine zimetoka katika mataifa yaliyoendelea barani ulaya.


Katika Orodha hii,tumekuwekea list ya lugha 20 zenye asili ya Afrika zinazozungumzwa zaidi,pamoja na idadi ya watu wanaozungumza lugha hizo.

1.Swahili - 107 milioni.
2.Hausa - 50 milioni.
3.Oromo - 30 milioni.
4.Yoruba - 30 milioni.
5.Zulu - 28 milioni.
6.Amharic -25.8 milioni.
7.Igbo -25 milioni.
8.Fulani - 24 milioni.
9.Berber - 23 milioni.
10.Somali - 20 milioni.
11.Xhosa - 19.2 milioni.
12.Malagasy - 18.7 milioni.
13.Afrikaans - 17.5 milioni.
14.Bambara - 14.1 milioni.
15.Sepedi - 13.7 milioni.
16.Sesotho - 13.5 milioni.
17.Tswana - 13.2 milioni.
18.Shona - 12.5 milioni.
19.Jula - 12.5 milioni.
20.Kinyarwanda - 12.3 milioni.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.