Monday, January 5, 2015

WEMA SEPETU VS ZARI THE BOSS LADY / NANI NI MREMBO KULIKO?




Kwenye Mitandao ya Jamii Hasa Instagram kwa Sasa zimeibuka Team Mbili Kubwa zinazoshinda huko kwa Kupeana Vijembe vya Hapa na Pale Kuhusu Wema Sepetu na Mrembo Zari The Boss Lady wa Uganda, Ushandani huo wa Team Zari na Team Wema Umekuja Baada ya Diamond Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Wote hao wawili katika Muda tofauti ambapo kwa sasa Diamond Ameweka Wazi Kuwa anatoka na Zari ...na ametemana rasmi na Wema




Ubishi mmoja wapo ni kuwa nani ni mzuri wa Umbo na Sura kati ya wema Sepetu na Zari , Na sisi hatuna hiyana tumeona tuwapambanishe Hapa tuone nani atapata kura nyingi ...




Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.