Taarifa zilizotufikia Ubaoni zinadai kuwa eti Ambwene Yesaya A.Y yupo katika dimbwi zilto la mahaba la mwanadada mrembo aliyelivua taji la miss tanzania mwaka jana Sitti Mtemvu baada ya raia kumshupalia kuwa hakustahili kushika nafasi hiyo kutokana na kughushi vyeti, wawili hao walionekana wakiwa pamoja katika visiwa vya Mbudya ghafla wakapotea, inasemekana kuwa eti waliekea nyumbani kwa Ay na kulala usiku mzima hadi leo
Hahahahahah........!!! ebu msikilize Ay apa alivyo bambwa na gosip cop