Leo tarehe 28/01/2015 ni siku ambayo wawili hao wamezaliwa ambapo wameamua kuungana pamojana ku-share na jamii siku yao ya kuzaliwa.
Leo asubuhi katika kipindi cha Clouds 360,Mh.January Makamba pamoja na Idrris sultan walifika studio hapo lengo kuu ni kusheherekea siku yao ya kuzaliwa ambayo wamezaliwa tarehe na mwezi unao fanana.