Monday, January 26, 2015

YOU HEARD: SHILOLE AMCHAPA KOFI NUH MZIWANDA

Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko Yao lililofanyika Leaders Club, Gazeti la Makorokocho lilishudia live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na kufanikiwa kumtoa Shilole eneo lile lakini baada ya muda Shilole akarudi na kumdai funguo ya gari Nuh ambaye siku hiyo alionekana kuwa mpole ikabidi mabaunsa waingilie kati na kumtoa kwa nguvu shilole, baadae Nuh alionekana akitoa machozi na Malkia wa Taarabu Khadija Kopa alionekana akim'bembeleza na kumfuta machozi.
sikiliza You Heard ilivyokua ndani ya Kipindi cha Power BreakFast

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.