Thursday, January 1, 2015

ZARI AWAJIA JUU BAADHI YA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUMPONDA KATIKA MTANDAO WA PICHA (Instagram)




Mrembo zari the boss lady Jana amempa za uso hater anaye jaribu fatilia maisha yake kisa kikiwa ni kitendo cha zari kuwepo Rwanda katika show na kula bata with her baby Diamond Platnumz hali kuwa mwanae alikuwa anasherehekea siku ya kuzaliwa Kwake huko Uganda 



   
Mchezo Mzima ulikuwa hivi: 
Zari alipost picha na maneno haya hapa chini :
'Bday s/out to my soldier Raphael aka Didi.... love baby. Throwing u a bigggggg parrrrryy once we touch base in SA'
Shabiki mmoja katika hiyo post akaandika hivi :
'Hata Bday haupo nae Maskini Mtoto'
Sasa Hapo ndipo palipo mgusa Zari na Kufunguka Hivi Hapa Chini:
'Don't come here pretending to know my f**cking life or my kid's life or anything about us. Keep ur f**cking miserable low life a*s where it belongs just don't act like u know us..Just don't talk about my Kids...Stay off ma kids issues they ain't your issues to handle but ma god damm Business'


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.