Thursday, January 1, 2015

BAADA YA DIAMOND KUTUHUMIWA KUWA HANA UWEZO WA KUPATA MTOTO, "ALI KIBA" AAMUA KUTUPIA PICHA ZA WATOTO WAKE



Staa Ali Kiba mapema jana kupitia page yake ya facebook aliachia picha za watoto wake watatu na na kuandika ujumbe ambayo ulidhihirisha mapenzi yake ya dhati kwao, licha ya staa huyo kuwa na watoto waote hao na kila mtoto na mama yake bado anawapenda huu ndio ujumbe alindika kwenye facebook yake 

Nawapenda sana watoto wangu! Kengine ambacho kina beba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin. ‪#‎Countdown2015‬ ‪#‎KingKiba‬



Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.