Akiwa katika Breakfast Club leo, redio
hiyo hiyo ambayo Amber Rose aliitumia kumchana Kylie, ndiyo alitumia Tyga
kufuta uvumi huo kwamba anamgonga Kylie Jenner “Hapana sitoki na Tyga, nataka
kuweka sawa hili kwa kila mtu, sikuacha familia yangu ili niwe na Kylie, huo ni
ujinga” alisema Tyga.
Tyga anasema bado hajapelekewa ishu yeyote ya kisheria kuhusu kosa lolote
alilofanya akaongeza ingawa anakuwa na Kylie pia Kendalll anakuwepo, ingawa
ameonekana mara kadhaa wakiwa peke yao sehemu fulani fulani.
Kylie Jenner ana umri wa miaka 17 ni kesi na atakwenda jela kama ni kweli atakuwa anatoka na mtoto huyo.
Tyga pia aliongelea kuhusu ugomvi
wake na Drake, akaongelea kuhusu vita kati ya Lil Wayne na Birdman, amesema
hakupata hata dola 1 kutoka Cash Money.
Beef inazidi kujaza bucha, Tyga ni
moja ya aliyekuwa memba wa Cash Money lakini ametoka na anatuhumu lebo hiyo kwa
kumuweka nyuma na kufanya kazi za wengine nay eye anakuwa pending tu, mshikaji
akaamua asepe akacheck mambo mengine.