Rapa huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya The industry Tz amesema hayo alipokuwa studio pamoja na producer wake NAHREEL wakimalizia process za mwisho kabisa za ngoma yake mpya ambayo atatoka hivi soon mara baada ya fiesta kumalizika
‘Unajua wasanii wengi wa kike hapa bongo wanapenda sana kufanya muziki laini mziki ambao sio wa kuumiza kichwa na ndio maana hauwaoni kwenye hip hop, kiukweli hiki ni kipaji nilichozaliwa nacho hakuna anayeweza kunishinda na ninaangalia kimataifa na sio kibongo bongo tu” Alisema ROSA REE
Check video yake akichana kupitia hapa: