Faiza Ally na mwanae Sasha. |
Kupitia instagram yake Mange Kimambi amempost Faiza Ally ambaeni zilipendwa wa mheshimiwa mbunge Sugu. Huku akitokwa na povu leeeefu kile kilichotafsriwa kama anachukizwa na tabia ya Faiza Kujibishana na shemela wetu wa sasa kwa kaka yetu Sugu.
Hili hapa chini ni povu la Mange kwa Faiza.....
"Hakuna uliemwaibisha hapo zaidi ya Sasha. Atakuwa mkubwa atakuta haya
matusi online Kuwa babake ana kibamia na Kwamba babake ni mfiraji,
ulishaongeaga redioni Kuwa baba Sasha alikuwa anakufanyia hayo mambo
na Leo umerudia tena. Kibamia??mbona unakililia miaka miwili
mfululizo?kibamia kimekubebebesha mimba?Unavuka mipaka dear. Hivi
ungekuwa unachambwa na huyo mwanamke wa baba Sasha kwa account yake
halisi Kama Mie navyochambwagwa na mzimbabwe si ungefariki kwa
presha?au Ungekesha una chambana nae ?? Au Kama Hiyo page ingekuwa
inakuchamba vitu ambavyo wanaambiwa na baba Sasha si ungekufa? Na the
more unawaonyesha una mihasira nao Hata Kama hawapendani watapendana
Kwa nguvu ili wakukomeshe coz unawafatilia sana.Although unanichambaga
but nakushauri kitu ambacho nimekisomea mpaka PhD 😂😂.Nilipitia Hii
situation 14 yrs ago na Sasa Hivi napitia. So trust me unapata
ushauri wa maana.
.
.
We jiulize Mange na ukorofi wote pale kapiga break. Na attacks zote
nipo kimyaaa. Hakuna kitu kibaya duniani na cha kipumbavu Kama
kugombana na mwanamke mwingine sababu ya mwanaume..na hakuna kibaya
Kama kuleta matatizo haya kwenye public, ,Uwiii hiii sio kugombana na
rafiki Huyu ni baba mtoto huwezi kumdhalilisha hivyo dear. Hata
wafunge ndoa Kesho na wambea wakucheke just ignore them.
.
.
Faiza Tatizo ni Kwamba huja accept kitu kikubwa.It's over between you
and Sugu. He doesn't love you and he doesn't want you.He is getting
married to someone else. Ukishayakubali haya Hata wapige Picha uchi
haitokusumbua.Yani ukiyakubali haya Hata Huyo Happy apige Picha mia
500 na Sasha haitokusumbua. Huyo ni mtoto waSugu mkewe ana haki ya
kukaa na huyo mtoto Kama jinsi wewe ulikuwa unaweka Picha insta uko na
Mzungu wako na Sasha. Kama Boyfriend wako anakuwa na Sasha why ikuume
mwanamke wa Sugu Kuwa na Sasha? Mi nakushauri ikubali hali halisi Kuwa
Sugu HAKUTAKI na hakuna kitu kitakachomrudisha.:
Mange alimaliza kama hivyo,
.