Monday, August 8, 2016

Povu La Baraka Da Prince Kwa Producer Lolly Pop Kuhusu Uandishi Wa Siachani Nawe.


Kwenye Leo Tena ya Cloudsfm ijumaa iliyopita Producer Lolly Pop aliulizwa Ni ngoma ngapi alizowahi kuwaandikia wasanii wenzake akajibu kuwa Ni Basi Nenda ya Music Moyo Mashine ya Ben PoL, Nivumilie na Siachani Nawe za Baraka Da Prince, sasa huku na huku kupitia 255 ya XXL Baraka akaskika akipovuka kuwa LollyPop anadanganya Umati kwa kusema aliandika Siachani Nawe, Wakati wimbo huo aliimba ye ye mwenyewe kwa mikono yake na Lolly alishiriki kwenye kushauri vineno flani flani na sio wimbo mzima kama alivyodai. Cheki Vizuri Hilo cover hapo juu lilitoka kipindi ambacho Siachani Nawe inatoka. Kuna kipengele cha Song Writer/ yani Mtunzi wa Wimbo ameandikwa Lolly Pop Swali Je wakati Cover ya CD hiyo inatoka 2015 Mwanzoni Baraka alikua wapi? Cover ilitengenezwa na Team ya Baraka Da Prince Au Cover hii ilitengenezwa na Ma fansi 😁 Mitandao nayo ina kihere heeeeeeeere inahifaaaadhi kumbukumbu 😝😝😝
 Bonyeza Play Hapo Chini Kumsikiliza Baraka Da Prince.

PLAY


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.