Thursday, September 8, 2016

AUDIO:"Colabo yangu na Chege naenda ku-shoot Afrika Kusini" - Man Fongo.

Mkali wa muziki wa kisingeli nchini,Man Fongo amedai kuwa licha ya video ya wimbo wa mpya "Kibaka" kuchelewa ila mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani video ya wimbo aliyomshirikisha Chege amepanga kwenda ku-shoot kwenye mitaa ya jiji la Soweto nchini Afrika Kusini.



Katika mahojiano aliyofanya na kipindi cha XXL cha Clouds fm,Man Fongo ambae hit's yake ya "Haina Ushemeji" inafanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya redio nchini,amedai kuwa video ya "Kibaka" ilipangwa kufanyika S.A ila kuna baadhi ya mipango ilishindikana hivyo colabo yake na Chege ndiyo atakayoenda ku-shoot nchini humo.

Msikilize Man Fongo hapahttp://www.audiomack.com/song/mdadisitzrapper/man-fongo-adai-colabo-yake-na-chegge-ata-shoot-soweto-sa

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.