Mambo yameendelea kuwa mambo baada ya Manfongo na Mama Wema kujielezea kila mmoja kwa nafasi yake kuhusu kile kinachotajwa kuwa beef kati yao.
Jana kwenye U-Heard tulisikia Povu la Mama Sepenga kwa Soudy Brown ambalo alilielekeza kwa manfongo.
Leo Sakata Linaendelea,
WASIKILIZE WENYEWE HAPA:
U-HEARD JANA AGOSTI 7:(MAN FONGO NA MAMA WEMA NDANI YA BEEF ZITO)