Friday, September 9, 2016

Joti Awafananisha Wasanii Wa Bongo Na Mbuzi.

Mkalim wa maigizo na vichekesho Joti kutoka kundi la Orijino Komedi anaendelea kuonyesha Episodes zake moja baada ya nyingine ambazo mara nyingi amekua akitumia mifano mbalimbali kufikisha ujumbe kwa wahusika.
 Safari hii Joti ameamua kutumia mfano wa mbuzi kuwachana mastaa wa bongo baada ya kuigiza kama bwana shamaba kama unavyoweza kuona kwenye video hii hapa chini.



Pale ambapo bwana shamba anaingia bandani nakutowakuta baadhi ya mbuzi wake huwa anaitisha role call, sasa tuskie hayo majina yao na vituko vyao waliyokuwemo kwenye hilo list

BEEF YA MAMA WEMA NA MANFONGO IKO HIVI:

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.