Friday, September 2, 2016

Kala Jeremiah Atangaza Mchongo Kwa Mashabiki Wanaojua Kuimba,

Mkali wa ngoma ya wanandoto Kala Jeremiah ameongelea mradi mpya anaotarajia kuanza hivi karibuni utakaowahusisha mashabiki zake sita ambao atawachagua kupitia mtandao wa instagram.

MSIKILIZE MWENYEWE HAPA CHINI KWENYE VIDEO HII.

 

ULIIONA HII YA WIZKID NA KOLABO NA MTANZANIA? 

 

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.