Tuesday, September 13, 2016

Picha | Kicheko Wa Uswazi Alivyopokelewa Clouds FM Leo.

Mtangazji na mdau mkubwa wa muziki wa uswahili mchekeshaji Kicheko amejiunga rasmi na Radio ya Watu Clouds FM ambapo siku ya leo amekabidhiwa jezi yake baada ya kufika mjengoni hapo akiwa na timu kubwa ya mashabiki wake.


Mtangazaji wa Leo Tena Dakota De Lavida akimkabidhi Kicheko Jezi ya Cloudsfm alipowasili mjengoni cloudsfm mapema leo.



"Nashukuru #CloudsMedia kwa kunifungulia Dunia na kunipa Fursa maana nina wasanii wengi na nilikuwa nawaza nawapeleka wapi lakini #Clouds wamenipa majibu ya maswali yangu" amesema Kicheko.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.