Mwanamitindo na Mke wa Mwanasoka maarufu ulimwenguni David Beckham,ambae pia ni balozi wa heshima wa umoja wa mataifa wa kupambana na Ukimwi,Victoria Beckham yupo nchini Kenya kwenye ziara maalum ambapo pamoja na mambo mengine atashiriki katika kampeni ya masuala ya afya na wanawake inayofahamika kama "Beyond Zero Campaign",kampeni ambayo imeasisiwa na Mke wa Rais Uhuru Kenyatta,Margaret Kenyatta.
Victoria Beckham maarufu kama "Posh" katika ziara hiyo ameambatana na mwanae wa kiume Brookyln ambapo mbali na kutembelea vituo vya afya,vituo vya kulea watoto ya yatima,alikabidhi gai la wagojwa mahututi (ambulance) na gari maalum la matibabu (mobile clinic) alipotembea moja ya kituo cha afya eneo la Limuru.
Victoria Beckham
– celebrity fashion designer and wife of English sportsman David
Beckham is in Kenya to support the Beyond Zero campaign spearheaded by
First Lady Margaret Kenyatta.
Mrs Beckham was in Kiambu County on Thursday accompanied by her son Brooklyn, where she was received by Kiambu County First
- See more at: http://nairobiwire.com/2016/10/victoria-beckham-jets-into-kenya-for-beyond-zero-campaign-photos.html#sthash.wuG45yb9.dpuf