Thursday, October 6, 2016

PICHA:Octopizo awaringishia mashabiki na pea 100 za viatu.



Rapper kutoka nchini Kenya mzaliwa wa mtaa maarufu wa Kibera,Octopizo kupitia ukurasa wake wa Instagram amesheherekea sehemu ya mafanikio yake kwa ku-post picha akiwa kwenye chumba kilchosheheni zaidi ya pea 100 za viatu vyake na kuandika....“Let your dreams outgrow the shoes of your expectations. Put yourself in my shoes & you'll understand the journey #shoes #shoesday #shoesgasm #8 #utanisho" .Ulisomeka ujumbe huo.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.