Sunday, October 23, 2016
VIDEO:Muonekano wa ndani kwenye magereza ya kifahari zaidi duniani.
Mhalifu anapopatikana na hatia,moja ya adhabu kwenye hukumu inaweza kuwa kutumikia kifungo gerezenai kulingana na hukumu yake.
Jamii inaamini kuwa gerezani ni sehemu ambayo kuna mateso na si mahala pazuri hivyo kila mtu huusiwa kujiepusha na mambo yanayoweza kumpeleka gerezani.
Hata hivyo unaweza ukashangaa kwani kuna magereza ya kifahari zaidi ambayo mengine ni mazuri kuliko hata nyumba z baadhi ya watu wnaoishi uraiani.Wafungwa katika magereza haya wanaishi kama vile wapo mapumzikoni.Tazama video hapo chini.
Comments System
facebook