Mastaa kibao na watu wa kawaida wametumia mitandao ya kijamii kumtakia Shilole kila lililo la kheri kwenye siku yake muhimu,
Salaam za muigizaji Jackline Wolper zimekuja na sifa kibao huku zikiwa zimeambatana na vyeo kadhaa lakini kimoja kikipewa kipaumbele.
Soma hapa chini alichokiandika Mama Raj kwenda kwa Shishi.
Kwa
kile ambacho tunaweza kukitafsri kama utani Wolper ameamua kumpa
muigizaji mwenzako cheo hicho labda kwa sababu ya Shishi kupata zali la
kuchorwa Tattoo na baadhi ya wapenzi wake anaokua nao.
Utafurahi Ukiona Hii Ya Shilole Akifundishwa Kuongea Kiingereza: