Umaarufu ni harufu,unaweza kunukia na kunuka pia,ila kwa Watu maarufu kama Wanamuziki,Waigizaji,Wanamichezo na n.k sio jambo la ajabu kusikia skendo zao za kutoka kimapenzi na Warembo tena zaidi ya mmoja japo sio wote hufanya hivyo.
Jionee list ya Wanawake walioshea shuka na Staa wa miondoko ya Afro-Pop kutoka nchini Nigeria,Wizkid Ayo kuanzia mwaka 2011 -2017
Chanzo:Mizzy Mojo.