Monday, December 17, 2012

MWANASOKA MAARUFU AKANUSHA KUFUMANIWA (NI HENRY JOSEPH ALIYEWAHI KUWA CAPTAIN WA SIMBA SPORTS CLUB)

Henry Joseph Shindika
Taarifa ambazo Gazeti La makorokocho Ilizipata ni kwamba Jumamosi hii majira ya Jioni hivi, Msakata Kabumbu Maarufu Bongo Henry Joseph Shindika ambaye aliwahi kuwa Team Captain wa Simba Sports Club na tyme hii anacheza Soka Ughaibuni / Norway katika club ya Kongsvinger, inasemekana eti amegongesha magari nyumbani kwao Kijitonyama jijini Dar es salaam, Chanzo hicho cha Habari ambacho kilipiga story na Mhariri Mkuu wa Gazeti hili na kutaka jina lake lisitajwe hewani, ametiririka kuwa siku hiyo yeye alimsindikiza Shosty wake kwa Henry Joseph sasa baada ya Ku buz buz na Shoskito kunonihino na Braza, ikafika tyme kuondoka eneo la tukio, sasa ile wanatoka huku wakisindikizwa na H.J mara wanapishana na mwanadada mrembo anaitwa Janeth si ndo kengele ikapiga kichwani mwao, ikabidi wamuhoji mwanadada, akawajibu kuwa H.J ni mpenzi wake, sio ubishi ukaanzia hapoooo, H.J ikabidi amwingize Janeth Ndani na kumwambia yule mwingine waliyetoka nae ndani aondoke, walipobisha eti Henry Joseph akaingia ndani na kujifungia na Geti,
Sasa @GossipCopTz alipomvutia Wire Henry Joseph Shindika akajibu kuwa eti hajawahi kufumaniwa maisha yake yote na wala siku hiyo hakuwepo Nyumbani.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.