Wednesday, November 16, 2016

AUDIO:'Penthouse Floor',John Legend ft.Chance The Rapper.


Staa wa R &B,John Legend ameachia wimbo huu mpya 'Penthouse Floor' akimshirikisha rapper kutoka Chicago anaefahamika kama Chance The Rapper.

Wimbo huu ulionakshiwa kwa vionjo vya mahadhi ya 'house' na 'electro dynamic sound' utapatikana kwenye albam ya nne ya John Legend aliyoipa jina 'Darkness and Light' inayotarajiwa kutoka Disemba mosi mwaka huu.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.