Thursday, May 27, 2010

Wu-Tang waamka kutoka Usingizini

Katika kile nachokiona kama kuzinduka kutoka usingizini lile kundi lililotikisa anga za muziki wa Hip Hop kipindi caha miaka ya 1990 WU TANG CLAN, limetangaza siku ya kuingia sokoni kwa Album yao mbayo ni tarehe 22/06/2010,

Album hiyo itaitwa Pollen: The Swarm Part 3

Ndani ya Album hiyo itasikika sauti ya Method Man, Ghostface Killah, RZA, Trife, Solomon Childs, Boy Jones, 12 oclock, Prodigal Sun, Killer Priest, Street Life, Remedy, JoJo Pelligrino, the Rev Burke, pia itasikika sauti ya the late Ol Dirty Bastard na wengine kibao.

“Wu-Tang is forever na tutaendelea kushine na kusambaza mziki wetu dunia nzima” hivyo ndivyo alivyosema Exucutive producer wa project hiyo RZA.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.