Tuesday, July 19, 2011

50 Cent kulisha waafrika bilioni moja ndani ya miaka mitano





Queens, New York Rapper 50 Cents, ana mpango wa kugive back kwa watu wa Bara la Afrika, ambapo kwa mara ya kwanza anataka kuwalisha watu wenye shida ya msosi ndani ya bara la Afrika.



Mtu mzima 50 Cents ametoa taarifa hizi kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, aliandika kwamba amejiwekea lengo la kuwalisha wa afrika bilioni 1 hadi kufikia miaka kitano ijayo.

50 ameamaua kufanya hivi kutokana na umaskini mkubwa unaolikumba bara la Afrika.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.