Saturday, March 31, 2012

JUMA NATURE: WASANII WANAO ENDEKEZA BEEF KWA WASANII WENZAO NI WASHAMBA, COZ INAWEZA KUSABABISHA MASHABIKI KUUANA

Juma Nature ktk stage moja na Lil Kim(fiesta 2010)
Legendary Rapper/Singer Juma Kassim Kiroboto or call him Juma Nature, unaweza Kumwita King wa Bongo flava anayewakilisha wilaya ya Temeke, amewa wakia wasanii wote wa bongo flava ambao wako kwenye Beef kwa wakati huu, (Izo B vs Roma Mkatoliki, Afande Sele vs Chidi Benz, Off Side Trick vs AT, Baba Levo vs Linex, Niki Mbishi vs Bonta na Weusi, n.k) ilikua ni baada ya blog hii kumuuliza je yeye ana maoni gani kuhusu beef hizo ndipo Nature akafunguka:
1 "Mimi kama mm naona ushamba tu, kwa sababu beef haina deal, mziki hauna habari za mabeef, labda kama ni beef ya kisanii, lakini sio ya kuleteana vita coz inaweza kusababisha mashabiki kuuana"
2 ...."Beef ya dar es salaam na A town, yote ni mikoa yetu ya Tanzania, ukiona watu wanaleta habari hizo ujue sanaa wameshashindwa, kwa hiyo wanatafuta sanaa ya ki lazima"
3.... "ukiangalia wengi wao wanaofanya miziki hiyo ya (beef) ni kwamba mpaka leo hawaja toka, majina yao tu yanajulikana lakini hawajafanya lolote kwenye mziki, sanasana watasababisha mashabiki wauane baass" Quotes by Juma Nature

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.