Ilikua Last thurzday kwenye Kipindi cha Ala za roho
kinachoruka weekdayz on Clouds Fm saa 4 mpaka sita ucku, cku hiyo Studio kulikua
na wadada wanne wa Bongo flava, Dayna Nyange, Rachel, Queen Darlin na Beatrice,
baada ya Perfomance mbili tatu, ukafika wakati wa kuaga ndipo MAPENZI YA KWELI &
DOLE GUMBA SINGER Beatrice akatoa duku
duku lake huku machozi yakimtoka, alisema “ ninaomba wadau wote wa muziki, mtu
tazame wasanii, nimetoa wimbo wangu
mwaka jana na umefanya vizuri kwenye radio na tv station, lakini kwa kipindi
chote hiko nimepiga show mbili tu, kwanini inakua hivi?
so kama vipi wadau mjipange Beatrice anapatikana facebook: Nabisha Mathew