- TWENTY PERCENT ASAFIRI KWENDA CONGO NA KUSHINDWA KUHUDHURIA MAHAKAMANI
- WAPANGA KUZIHAMISHA KESI HIZO KUTOKA MAHAKAMA ZA MWANZO KWENDA KTK LEVEL YA MAHAKAMA YA WILAYA AU MKOA ILI WAWEZE KUMSIMAMISHA MWANASHERIA AWATETEE
Afande Sele |
KATIKA ZILE KESI TANO ZINAZOWAKABILI WASANII
WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AFANDE SELE, TWENTY PA PAMOJA NA WENZAO WAWILI, OF
COZ UTAKUA UNAIKUMBUKA NI ILE AMBAYO WALIDAIWA KUINGIA TOWN WAKIWA WAMETUPIA
VICHUPI, KUFANYA FUJO, KUJERUHI N.K
JANA
ILITAJWA MOJA WAPO NA KESHO KESI NTYINGINE ITA TAJWA, ILA KATIKA KESI HIZO
MSANIIN TWENTY PA ATASHINDWA KUHUDHURIA MAHAKAMANI MPAKA ATAKAPO REJEA KUTOKA
NCHINI CONGO ALIKOKWENDA KWA AJILI YA KUTUMBUIZA, HIVYO AMEOMBA RUHUSA
MAHAKAMANI.
AFANDE
SELE NA WENZAKE WANAPANGA KUFUATA HATUA ZA KISHERIA ILI KESI YAO IHAMISHWE
KUTOKA MAHAKAMA ZA MWANZO NA IENDE KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA AU MKOA ILI WAWEZE
KUSIMAMISHA MWANASHERIA WA KUWATETEA.