Tuesday, April 24, 2012

BABY MADAHA: SIVAI HATA KUFULI NIKIWA NDANI KWANGU

Baby Madaha
Singer & Actress katika Industry ya Bongo, Baby Madaha amefunguka kuwa Hapendagi kuvaa nguo wakati akiwa amepumzika ndani kwake, ili awe Free na kupata Upepo mzuri, lakini pia mwanadada huyo amefunguka kuwa Hawezi kulala bila kunywa kilevi chochote, bila hivyo hapati usingizi, Na pia huwa hapendi kubeba watoto wachanga kwani akiwaangalia utosini anashindwa kuvumilia kuona sehem za ubongo zikidundadunda,Zaidi mskie Baby Madaha alivyofunguka ndani ya XXL ya Clouds Fm.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.